![]() |
PREZZO |
Msanii maarufu nchini Prezzo au King of bling huenda akayaaga mashindano ya Big
Brother Africa wiki hii kama hatopata kura za kutosha kutoka kwa
mashabiki wak.
Hii si habari nzuri kwa Prezzo ambaye hivi karibuni ametokea kuwa
adui wa nchini zingine za Afrika,kama vile Nigeria,Ghana na Afrika kusini.
Wakati mmoja msanii huyo alileta vurumai akimtusi Goldie ambaye walikuwa karibu sana na kufanya watazamaji wa Nigeria kumchuku kupindukia baada ya, Prezzo kumtaja Goldie katika nominations ili atolewe kwenye shindano hilo kitu ambacho
kimewafanya aonekane msaliti na watu wa Afrika Magharibi kujiunga na
Afrika Kusini kuchukia na kuponda chochote anachofanya Prezzo.
Mbali na Prezzo kuwa katika kikaango hicho cha kufurushwa wengine Lady May, Kyle, Goldie, Junia na Keagan wa Afrika Kusini.
Sisi hapa tunaomba nchi za Tanzania na Uganda kumuokoa Prezzo ili kunyakua ubingwa wa BBA.
Sisi hapa tunaomba nchi za Tanzania na Uganda kumuokoa Prezzo ili kunyakua ubingwa wa BBA.
No comments:
Post a Comment