![]() |
JAQUAR |
Msanii wa kizazi kipya Jaquar aamua kumfadhili msichana mmoja katika masomo yake.
Wawili hawa walikutana katika mitaaa ya mabanda ya mukuru wakati msanii huyu alikwenda kwa matayarisho ya video yake mpya ya wimbo Matapeli
Msichana kwa jina Jackline Wanjiku alimweleza Jaquar kuwa alipata nafasi katika chuo cha Walimu Cha Sunrise Athi River. Lakini hakuweza kujiunga na wenzake kutokana na ukosefu wa fedha. Hivyo basi baada ya msanii huyu kumsikiza jackline kwa maakini aliamua kumsaidia na kumlipia karo kwa masomo yake
No comments:
Post a Comment