![]() |
SUSUMILA |
Katika hali hali ya kuongeza kasi,msanii wa kizazi kipya kutoka mombasa Yusuf Kombo aka Susumila,anaendelea kukaza buti kimziki na safari hii amekuja upya tena na kutoa wimbo uitwao Yule.
Susumila ambaye anajulikana kwa mitindo ya kuponda katika mistari ya nyimbo zake,wimbo yule ni tofauti kabisa unaozungumzia mapenzi jambo amabalo limewashangaza wengi hasa mashabiki wake.
Wimbo huo umefanywa katika studio za Crack Sounds ya Kilifi (Kilifonia)chini ya Producer Jay Crack.
No comments:
Post a Comment