Wednesday, 13 June 2012

LOVENESS NINI KUMSHIRIKISHA DIAMOND


Mtangazaji wa radio ya Clouds FM nchini Tanzania Loveness Love aka Mimi.anatazamiwa kurekodi wimbo na msanii mkubwa nchini humo Diamond.
Hivi maajuzi msanii huyo alisikika hewani akiwashambulia wanaume akisema kwamba wanaume ni wachafu,hawafui chupi na soksi zao na harufu mbaya.jambo ambalo liliwaudhi wanaume.
Inasemekana kuwa baada ya matamshi hayo yaliwakata maini wanaume,wengine wao waliaamua kufungua ukurasa katika facebook uliosema"TUNAKUCHUKIA DIVA".
Ni jambo la kawaida kwa watangazaji kuleta mijadala kama hii katika vipindi vya radio lakini haipaswi kuvuka mipaka na kutukana jamii nyingine.Hata hivyo twaisubiri kwa hamu kollabo hiyo kuskia.


No comments:

Post a Comment