![]() |
MR BLUE |
Endapo kweli mziki ungekuwa zaidi ya parapanda ya mwisho,basi mtoto Herry asingekubali kuondolewa kwenye fungu la wasanii wa kizazi kipya.
Mr.blue aka 'Kabayser' pamoja na mama watoto wake Wahida Mohamed wamesema mtoto wao kamwe akikua hawapendi afanye muziki
kama yeye kwakuwa hawapendi awe maarufu.
"Mimi ningependa mwenyezi Mungu amjalie awe mtu fulani ambaye
kidogo atakuwa hata kiongozi kusaidia watu,” alinena msanii huyo.
Hata hivyo blue amesema aliamua kumpa jina lake mwenyewe la ‘Herry’ kwasababu
ni mtoto wake wa kwanza.
Haya tunamtakia herry juniour maisha mema hapa duniani.
No comments:
Post a Comment