Msanii wa kizazi kipya aliyetamba na kibao Kaploti,hapa namzungumzia Kantona amabaye anendelea kijikaza kimziki.Baada ya wimbo mama fatuma alioutoa miezi michache iliyopita,amejikita tena studio na kuja wimbo mbaya.
![]() |
KANTONA |
Kantona ambaye mashabiki wake humuita kaploti amekuja na wimbo huo unaotwa Ushauri wa Baba,umenazungumzia usahauri wa mzazi hadi kwa mwanawe.Wimbo huu ameuimba tofauti kabisa na miziki yake ya awali.
Tulipomuhoji kantona alisema kwamba "mziki wa kizazi kipya umebadilika sana na hauhitaji mziki wa kubanjuka pekee lakini mawaidha pia vijana wanahitaji""Nina matumaini wimbo huu mafans ufikiapo wasikilizaji,najua wataufurahia kwani unamawaidha mazuri."alimaliza
OK.Hapa ketau express tunausubiri wimbo huo na sapoti yetu ipo.
No comments:
Post a Comment