Wednesday, 4 April 2012

VIDEO YA TOKELEZEA IMETOKEA



Wimbo wake msani Abbas kubbaf mkali wa hiphop na chantlle 'Tokelezea' uliokuwa wimbo bora mwaka wa 2011 hivi sasa umefanyiwa video ambayo wengi walitaka na kiungojea kwa hamu.

Lakini kulingana na wadadisi wa muziki video hii ni ya aina yake kwani imeundwa kwa mtindo tofauti kabisa kwa mjibu wadadisi hawa nikuwa mafans wengi walitarajia video hii pengine ifanyiwe katika mzingira ya club hivi huku mwanadada Shantele kifanya mambo ya aina yake ambayo pengine yange mwacha mzazi akiwa ameduwa.

video hii imetengenezwa katika manthari tofauti kabisa kulingana na mistari ya wimbo wenyewe ni kweli wimbo wenyewe na video vinatafautiana.
tazama video hii kwenye blog ya ketauexpress utapata ufahamu zaidi.









No comments:

Post a Comment