msani huyu tayari ameangusha single yake mpya inayofahamika kama 'Light up'ambayo ina midundo ya aina yake na miondoko ya kuvitia hisia za kimapenzi.
wimbo huu umerecodiwa ndani ya Ogopa huku video yake ikifanywa katika mtaa wa kifahari hapoNairobi,kulingana na wadadisi wa muziki wimbo huu umefanyiwa kazi nzuri ikizingatiwa beat yake.
Kwa sasa single hii ya msanii Dogtor Mbwana toka Mombasa ipo live ndani ya Ketauexpress tegea radio taifa sauti ya mkenya na mtetezi ili upate kusikiliza wimbo huu.
No comments:
Post a Comment