Monday, 2 April 2012

REMIX YA WHAT U LIKE LOGOMBAS FT MR VEGAS


'What you like' ni wimbo wao wasani wakali toka kenya Longombas brothers  hapa na wazungumzia Cristian na kakake ambao hivi sasa wanapania kufanya remix ya wimbo wao What you like wakiwa wamemshirikisha Mr Vegas mkali wa dancehall toka Jamaica.
vegas wimbo huu ambao ulitolewa na Longombaz december sasa utakuja tena katika mtindo wa dancehall ikizingatiwa remix yake kali itakayofanywa na Mr vegas.

No comments:

Post a Comment