![]() |
PREZZO |
![]() |
50 CENT |
Habari za hivi punde kuhusiana na Prezzo ni kuwa baada ya kutaka kufanya kollabo na 50 cent msani mkali wa rapp toka marekani kwa muda mrefu.Ndoto yake sasa imetimia na amefanya wimbo mmoja na 50cent unaojulikana kama 'The star' na wakati huu video ya wimbo huu baado una tengenezwa USA.
Kazi hii inamfanya Prezzo kuwa msanii wa kwanza Afrika mashariki kuangusha kolabo kali kama hii na msanii kama 50 cent.
No comments:
Post a Comment