Tuesday, 3 April 2012

MR NICE NA DIAMOND TAYARI KUANGUSHA KOLLABO


Kollabo kali toka kwa Mr Nice na Nasib Abdull aka 'Diamond' ipo jikoni
Mr Nice amesema anatarajia kukamilisha wimbo mpya, ambao utakuja kuufunika wimbowake wa sasa ‘Tabia gani’ atakao mshirikisha Nasib Abdull aka ‘Diamond’.Mr Nice amesema tayari ameshaingiza mashairi yake kwenye studio ya Fish Crab, bado tuDiamond kuweka mistari yake, ambapo alichelewa kutoka na kuwa bize na Show yake ya Diamonds are Forever
Nyimbo hiyo inatarajiwa kuwa katika staili ya Afro pop na bongo fleva,ikiwa imetengenezwa na producer Lamar.
Tumekaa mkao wa kula wadau tayari kuwaletea wimbo huu.

No comments:

Post a Comment