![]() |
NYOTA NDOGO |
Habari zizanazo tufikia hapa Ketauexpress ni kuwa msanii Mwanaisha Abdala aka Nyota Ndogo alimpoteza babake mzazi siku chache zilizopita ambaye amekuwa akiuguwa kwa muda mrefu.Kwa mjibu wa habari zinazotufikia nikuwa babake Nyota alifariki Tanga ambako alizikwa.
Siku chache zilizopita Nyota amekuwa kwa wakati mgumu huku ikizingatiwa wiki mbili zilizopita nyumba yake mpya aliyojenga Mombasa ilinusurika kuteketea ilipookolewa na jirani zake.
Ketau express inamtakia Nyota Ndogo afueni ya haraka wakati huu mgumu maishani mwake.
No comments:
Post a Comment