![]() |
ALI KIBA |
Habari zinazo tufikia katika meza yetu ya udash dash hapa Ketau ni mkali wa bongo flava Ali Kiba aliandikisha taarifa kwenye kituo cha polisi Oyster Bay jijini Dar kuhusu madai ya kifo cha Steven Kanumba.
Inadaiwa kuwa usiku wa kifo cha marehemu alimpa Lului aliyekuwa mchumba wa Kanumba Lifti katika gari lake kutoka nyumba ya Kanumba .
Udash dash unaotufikia unadai kuwa awali wawili hawa walikuwa wapenzi na kuachana kwa muda lakini penzi hilo halikudumu na mpaka sasa ni marafiki wa dhati.
Hata hivyo polisi wanaendelea na uchunguzi wao kuhusina na kifo cha marehemu Kanumba.Huku mashahidi wengine zaidi wakitarajiwa kuhojiwa na Ketau Express itakupa habari punde zinazapo chipuka.
No comments:
Post a Comment