K'COUS AJIUNGA NA IDRIS JONES
 |
Camp Mulla |
K'Cous, mmoja wa kundi la wasanii la Camp Mulla, ambaye ni kati ya wasanii bora wa hiphop humu nchini aonekana kujiendeleza vyema kimuziki huko Ulaya
Amejiunga na msanii mmoja wa Ulaya ajulikanaye kama Idris Jones katika wimbo wa thirsty.Camp Mulla ambao wanajulikana kwa nyimbo zao party don't stop na addicted, wameibuka kuwa wasanii bora nchini.
No comments:
Post a Comment