Thursday, 12 April 2012

CHAMP WA RAP GIDA MANO VIDEO YA MSUPA

Champ wa Rap
Msanii Champ wa Rap (CWR) aka Gida Mano nchini,anayekuja kwa kasi anapania kuufanya mziki wake wa tatu unaojulikana kama "Msupa" video kali amabayo kwa sasa iko jikoni.

Kwa mujibu wa msanii huyo anasema kuwa ameamua kufanya video hiyo kutokana na udhabititi wa ngoma hiyo ambayo anasema ni kali sana.

"Nimeamua kufanya hivyo kutokana na ujio wangu wa mziki wa hip hop amabazo tayari mafans wangu wananijua kutokana na miziki kaeni masaa na onyesha ujuzi ambao nilimshirikisha msanii Zakaa kutoka kundi la Wenyeji".alisema Gida Mano.

Miziki hiyo miwili tayari ashaitambulisha kwa mafans wake huku video ya kaeni masaa ikiwa nje miezi michache iliyopita na inafanya vyema katika runinga za humu nchini.

Miziki mingine msanii Gidamano aliyonayo ni Heshimu kazi na Msamaha.Hapa Ketau Express tunamtakia Gidamano kila la kheri katika mziki wake.

No comments:

Post a Comment