
Kifo cha Kanumba kiliwastusha wengi baada ya kusemekana kwamba gwiji huyo alianguka kwa kisogo baada ya mpenzi wake kwa jina Elizabeth Lulu Micheal kumsukuma .
Habari zinazo fikia meza ya udashdash ni kwamba kulikuwa na ugomvi mkali kati ya star huyo na Lulu kabla ya kifo chake ."Kanumba alianguka na kujipiga na sakafu na kufa papo hapo wakati wa ugomvi ingawaje alikuwa amelewa kupita kiasi" Lulu alielezea.
Polisi wangali wanaendelea na uchunguzi wa kifo chake na wanaelezea kwamba ni mapema mno kubainisha kifo hicho huku mashabiki, marafiki wakiendelea kutuma risala za rambirambi kwa jamaa na marafiki wa Kanumba mwiongoni mwao akiwa rais Jakaya Kikwete.KetauExpress inaitakia familia ya Steven Kanumba kuwa na subira wakati huu mgumu wa maombolezi.
No comments:
Post a Comment