![]() |
HEMEDY AKA PHD |
Msani wa kizazi kipya ambaye pia ni mcheza filamu mashuhuri nchini Tanzania Hemedy aka PHD,ameshtumiwa vikali kwa kuzusha tetesi ya kifo cha muigiza na director wa filamu za bongo maaruufu Sajuki.
Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kulizuka
taarifa kuwa Hemedy ndiye aliyeandika taarifa hizo kwa mara ya kwanza katika status yake facebook kwamba Sajuki ameaga dunia.
Kutokana na taarifa hiyo lawama zote zikamuangukia Actor huyo,Lakini baada ya kuulizwa kwa njia ya sms Hemedy alikanusha kuwa
yeye hausiki kabisa nakuandika taarifa hizo ila kuna njemba imefungua
page ya facebook kwa jina lake Hemedy PHD na kusambaza uzushi huo.
No comments:
Post a Comment