![]() |
KEKO NA MADTRAXX |
hivi leo Madtraxx yuko nchini Uganda katika harakati za kuuzindua video ya wimbo huo ambao ulitayarishwa na producer mkali toka nchini Nigeria Clanrence Peters mwezi wa februari Nairobi.
Producer huyu wa Nigeria amekua humu nchini toka 2011 akifanya kazi na wasani kama: Love-child Wyre, Camp Mulla, Banky W, L-Tido, na Bon’eye. Basi tukingojea wimbo huu kuna kollabo nyingine kali yao Kenyan band Ma na J Cole wakishirikiana na Missy Eliot toka amerika.
No comments:
Post a Comment