![]() |
BEBE COOL |
![]() |
BOBI WINE |
Wasanii wanaojulikana kwa beef kali nchini Uganda hivi sasa wajiandaa kufanya tamasha pamoja mwezi Aprili linaloandaliwa na wadhamini (mapromoter) Emman Serugo na Musa Kavumamkali kutoka Uganda.
Kulingana na wadadisi,Bobi Wine aka Ghetto Gladiator aka Omubanda wa Kabaka(Kings Gangster) na Bebe Cool wanasemekana kuwa ni marafiki lakini kutumia beef yao kuwapumbaza mashabiki wao.
Tamasha hiyo itaandaliwa katika kumbi za Hoteli Africana iliyoko Resort beach. Hii itakuwa tamasha ya pili ikizingatiwa ya kwanza ilikuwa kati ya Bobi Wine na mwanawe Mayanja aka Dr. Jose Chameleone.
Akiongelea jambo la tamasha hiyo Bobi Wine alisema, iwapoatashirki kwenye mchuano huo atachukua 85% ya pesa zitakakusanywa kwenye tamasha hilo
No comments:
Post a Comment