Wednesday, 7 March 2012

ALFAYO NA CARTEL"NYERIFICATION"


Wasanii wakali kutoka katenga production  Alfayo na Cartel wamekuja tena na wimbo wao mpya unaozungumzia matatizo yanayo kumba wapenzi katika ndoa zao.

Hivi sasa mitaani wengi wanawaita wasanii hao wawili “NYERIFICATION” au “djemo thako" kumaanisha (baba ampiga mama) kwa lugha ya kiswahili.

wasanii hao kutoka kundi la katenga wametunga wimbo huu kupinga matatizo ya ndoa na kutumia njia mbadala kusuluhisha matatizo ya ndoa ambayo ni mazungumzo.

Hata hivyo katenga wanawahimiza mafans wasikize wimbo wao. Huku wakizingatia kuishi kwa amani na kuheshimu ndoa zao ilikukuza jamii hasa watoto wao.

1 comment:

  1. wanainchi lazma waishi na amani hakuna kutwangana..kaeni chini na monge kwa amani

    ReplyDelete