Whats up ni kibao kipya cha msanii anayekuja kwa kasi Rap Damu kilichofanyiwa Pacho Entertainment chini ya Producer V6.
Wimbo huu ni kama salamu kwa watu sanasana mashabiki wake na kuwajulia hali. Msanii huyu anaonyesha ubunifu na diversity kwa nyimbo zake.
Akiongea na KETAU Express alisema,"Mashabiki wangu wamenizoea nikifanya laid back music lakini nimerudi na kishindo marahii."
Msanii huyu ametoa kibao kingine kama Nimezama, ambacho alimshirikisha mwanadada Halima.
No comments:
Post a Comment