![]() |
| NINCE HENRY |
Nince Henry ni mwandishi wa nyimbo kutoka Uganda aliyeingia kwa ulingo wa mziki, jambo linalomfanya yeye kujikuta pabaya na wasanii wengine chipukizi badala ya kukuza sanaa hii mpya.
Inaaminika kuwa Juliana alimwendea Nince ilikumwandikia wimbo na nyimbo mbili 'Sikyakaba' na 'Kanelage' akaziandika Nince Henry. Sikyakaba
ilifanyiwa chini ya producer Paddyman unapoiiskiza, yaenda kufanana na wimbo wa Samalie Matovu Omukwano Gunyuma.
Nince akamua kumuita Juliana pamoja na producer wake na wakakubaliana kutozindua wimbo huo na ubaki kama mali ya Nince. Nince hakulipwa kwa kazi hii lakini Juliana na mkurugenzi wake waliahidi kumlipa kupitia wimbo mwingine atakaomwandikia juliana. Nince akaamua kuuzindua wimbo 'Sikyakaba' kivingine.
Tangu hapo Nince amepokea kidole cha lawama kwa kutoa wimbo usiokuwa wake tangu awali.
Akitaka kufafanua ugomvi huo Juliana aliandika kwa ukurasa wake wa Facebook "


No comments:
Post a Comment