![]() |
| TANZANITE |
Kuna tetesi mitaani kwamba msanii Mwingereza Athuman Mwingereza maarufu kama ‘Tanzanite’ amefikishwa kizimbani kwa
tuhuma za ubakaji. Msanii huyo alifanya vizuri na ngoma yake ya
‘Kafara’ ambayo ilimletea matatizo na msanii mwenzake Diamond baada ya
kudaiwa kutumia moja ya beats zake pasipo na ruhusa.
Tanzanite alikuwa anakaribia kutoa single yake mpya ya ‘Sababu I love
you’ hivi karibuni, lakini jinsi mambo yalivyo, yatategemea matokeo ya kesi
hiyo.

No comments:
Post a Comment