Wednesday, 15 February 2012

SAUTI SOL KUELEKEA MALI

Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Delvin Mudigi and Polycarp Otieno
Kundi la wasanii wanne wa kiume, Sauti Sol, wanaovuma kwa nyimbo zao za mtindo wa afro-fussion, wataelekea Mali hivi leo. Wasanii hawa wanatarajiwa kuperform  na wasanii wengine kutoka Afrika kwenye Festival Sur La Niger.


Delvin, mmoja wa wasanii hawa alisema, “Tulipokuwa Holland kwenye tamasha ndipo Mammou Diaffe, mkurugenzi wa Festival Sur La Niger, alitualika kwenye tamasha hili. Kwa sasa tunaenda kunetwork na wasanii wengine wa Afrika na hatunampango wa collabo na yeyote.” Sauti Sol, wanaogonga chat za muziki mitamboni ikiwemimo KETAU Express,nakibao chjao Gentleman wakiwashirikisha kundi la P-Unit wanatarajiwa kupoerform siku siku ya mwisho ya tamasha hilo. Tamasha hiyo inaanza leo, tarehe 15 Februari hadi 19 Februari.

No comments:

Post a Comment