Msanii Suntra Sorai mwanadada wa mziki wa kizazi kipya wa humu nchini amerudi studio kutayarisha wimbo unaojulikana "Mbona kanitenda".

Sasa hivi msanii Suntra anatamba na kibao chake kinacho julikana kama "Ukiwa mbali".kinafanya vyema humu nchi.Tegea wimbo huu leo live katika KETAUEXPRESS ukiwa na Mtetezi aka Kazungu Mwinyi ndani ya Radio Taifa sauti mkeya 2pm-4pm.
No comments:
Post a Comment