Tuesday, 7 February 2012

MR NICE AREJEA TENA

Baada  ya kutoweka kwa takriban miaka saba bila album, msanii ambaye ni mwasisi wa style ya TAKEU, Lucas Mkenda maarufu kama Mr. Nice, ameangukia katika mikono ya meneja wanaume family Said Fella pamoja na producer Kiwango Lamar ambapo kwa pamoja wameahidi kumrudisha Mr. Nice kwa game yani mziki wa bongo Tanzania na Afrika yote. KETAU EXPRESS inasubiri ujio wake tena na tutakufaamisha mengi kuhusiana na msanii huyu.

No comments:

Post a Comment