Wednesday, 8 February 2012
MTETEZI ATETEA KIBAO CHAKE
wimbo "Nahitaji mapenzi" wake mtetezi ambao siku za hivi karibuni umevuma nchini, umechukua mkondo mpya baada ya wasanii wengi kuutaka kuufanyia remix.
Akiongea na meza ya KETAUEXPRESS hapo jana mtetezi alisema kuwa wasanii wengi wamemsihi kuufanyia remix wimbo huo lakini akasema "wimbo huu bado ni mchanga sana na sijafikiria hivyo," akaongezea kusema kuwa "licha ya wasanni kutaka remix wengine wao wanataka collabo nami."
Nahitaji mapenzi ni wimbo wa hisia za kimapenzi yalio mtatiza mtetezi wakati mmoja alisema kwamba "Ni wimbo wa maisha yangu ya kimapenzi na sitarajii kuliongelea hilo kiundani."
wimbo huu umetolewa chini ya producer Shakii katika studio za Dalana entertainment.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I am glad you are sharpening your multimedia skills. Keep soaring to greater heights. Keep me posted on your progress. Proud of you.
ReplyDeletegood one bros n things shall open up more than this..
ReplyDelete