Tuesday, 14 February 2012

BURADANI YA WAPENDANAO


Wasanii wa kizazi kipya Gin ideal pamoja na Caltos Jinamizi,leo siku valentines watawatumbiza mashabiki wao mjini kisii.
Tamasha hiyo ambayo itakuwa katika Club ya Backyard mjini humo imepangwa hususan kwa wapendanao itaanza saa kumi na mbili jioni mpaka chee.

Akiongea na udash dash wa Ketau Express Gin alisema kwamba amefurahi sana kutokea kwa fursa hiyo kwani umuhimu wake haufanananishwi na siku nyingine,na akawaahidi mafans wake mabo makubwa huko,

"Fursa hii ni nzuri kwangu ikizingatiwa kwamba niko rada kwani najua wimbo wangu mpya utaskika na kutengeza base mpya ya mafans"."Twaenda huko kujua kwamba lengo letu ni moja tu lakutumbuiza wapendanao".aliongeza Caltos.

Msanii Jinamizi anatamba na vibao vyake mwalimu wa kiswahili na njoroge naye Gin Ideal anatamba na kibao chake kipya kwa jina Want u Now.

No comments:

Post a Comment