Thursday, 2 February 2012

Ringtone huyo na wimbo mpya "USICHAGUE KAZI"

Mwanamziki wa nyimbo za injili Ringtone ametoa wimbo wake mpya unaojulikana kama "USICHAGUE KAZI" sikiliza wimbo huu mpya wa Ringtone ndani ya KETAU EXPRESS na MWINYI KAZUNGU AKA MTETEZI kila siku ya jumatatu hadi ijuuma 2pm-4pm.

No comments:

Post a Comment