Thursday, 2 February 2012

Juliani na Jua cali "si siri"


Jua cali akimshirikisha rapper wa gospel anayekubalika sana nchini kenya Juliani katika wimbo wake mpya unao julikana kama "si siri" wimbo huu ambao Jua cali aliuzindua jumatano tarehe 01/02/2012.Wimbo ambao umerekodiwa na producer mkali humu nchini clemo wa calif records.
Jua cali ambaye aliamua atowe wimbo huu kumshukuru Mola kwa umbali ambao amemfikisha ndiposa akamua kumshirikisha Juliani gospel rapper ambaye yuko juu tu sana.....

sikiliza mziki huu live ndani ya ketau express-radio taifa 92.9 kwanzia mida ya 2pm-4pm na  mwinyi kazungu a.k.a mtetezi

No comments:

Post a Comment