Tuesday, 7 February 2012

BARNABA KUFANYA KOLLABO NA FALLY IPUPA


Barnaba
Msanii mkali toka nchini Tanzania Barnaba atarajia kusafiri nchini Ufaransa  kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya kiitwacho 'Tuachane kwa Wema" ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi Fally Ipupa. kutoka DRC Congo.
Fally Ipupa
Barnaba alisema kuwa tayari maandalizi yote yamekamilika kuelekea ufaransa ikiwemo studio atakayo rekodia wimbo huo, ambao utakuwa miongoni mwa nyimbo kumi anazotajia kukamilisha katika album yake mpya itakayo kamilika mwezi wa sita.

No comments:

Post a Comment