Thursday, 23 February 2012

MOVIE STAR -CHIDI BENZ


Msanii maarufu kwa kufoka foka Rashid Makwilo aka Chidi Benz ambaye pia anatambulikana sana kwa mitindo ya free sytle, ametoa wimbo mpya unaojulikana kama "movie star" ambayo imeelekezwa na Karabani.
mziki huu ikiwa ni wa mtindo wa hip hop, basi wafuasi wa hip hop mnakilahali ya kutabasamu kwani mnapata wimbo huu live ndani ya ketauexpress na kaz aka mtetezi...............

No comments:

Post a Comment