![]() |
| BEBE COOL & ZUENA |
Msanii kutoka Uganda,Bebe Cool, pamoja na Rema wamezindua wimbo mwingine ilikumtolea mkewe Zuena.
Zuena hivi sasa yuko Amerika lakini nyumbani Uganda alibaki barafu wake Bebe Cool aliyeamua kuzindua wimbo kwa penzi lao na kutaka kumshukuru mama wa watoto wake wawili anayesemekana kuwa mjamzito.
kibao hicho kimefanyiwa Buzz Studio chini ya producer Kingsly na mwandishi wa wimbo huo ni Bebe
Cool na Tikitah. Msanii huyu anayevuma sasa kwa kibao 'Dogolyo' anawaahidi mashabiki wake hits kibao mwaka huu wa
2012.
Bebe Cool na Rema wamefanya ngoma kama Ceaze and Seckle zilizovuma na wanatarajia Missing U kugonga chats.

No comments:
Post a Comment