Tuesday, 14 February 2012

KENRAZY KWENYE ULINGO WA ROCK

KENRAZY
Valentine hii imekuja kwa vishindo baada ya wasanii wengi kujibwaga uwanjani na nyimbo mpya za msimu huu. Msanii Kenrazy anayetumia "sheng" lugha ya mtaani akichanganya na kingereza amewashangaza wengi alipotoa wimbo wa kingereza wa rock uitwao ‘get it right’ 


Hii inaonyesha ukamavu kwaupande wa mwanamziki huyu. amewasihi mashabiki wake kuusikiliza kwa makini maana ni mtindo wa rock lakini unamiujiza ya kimapenzi.

No comments:

Post a Comment