Tuesday, 14 February 2012

AVRIL HOSPITALINI KENYATTA

leo ni siku kuu ya wapendanao ama ukipenda Valentines Day, ambapo kila mtu yuko kwenye pilka pilka za kujivinjari na mpenzi wake. Mwanadada Avril,aliyezindua kibao kitu kimoja hivi majuzi aliamua kusherehekea siku hii Hospitali Kuu ya Kenyatta na wagonjwa wa spinal injury. Amekuwa nao tangu asubuhi akiwa na wenzake wa Genius Generation.
"I`m overwhelmed!! My best valentine`s ever sharing with the patients of sixth floor Kenyatta Hospital,’’ Avril alisema kwenye handle yake ya tweeter. KETAU express twakupongeza na kuwatakia afueni wagonjwa wote wa spinal Injury.

No comments:

Post a Comment