Friday, 24 February 2012
KATENGA NA KAZI MPYA
Mwaka 2012 katenga entertainment wamekuja kwa kishindo kwa kurekodi wimbo wa kwanza unao enda kwa jina "Follow me" ilioimbwa na msanii Alfayo Miguel.Kuzidisha hilo ni kuwa wamerekodi wimbo mwingine ambao unakuja kwa kasi sana kutokana na midundo ya aina yake, wimbo unaofahamika kama"another mad jaluo" ulioimbwa msanii Cartel.
"hivi sasa hakuna kitu kisichokuwa na mwisho kwa sababu kuna wasanii wanazidi kujichipuza ndani ya katenga huku kazi zao zikiwa jikoni,ambazo zitatolewa hivi karibuni"
matarajio ya cartel nikuleta mabadiliko katika mziki na kuwa mafans watakubali kazi zao na kuimba kama wimbo wa taifa.Kudi la Katenga pia lina uwezo wa kutoa video nzuri ambazo production yake ni ya hali ya juu.
Kwa wasani ambao wangependa kufanyiwa video nzuri au nyimbo zenye quality nzuri wanakaribishwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Thats the way to go..na kama kawaida its katenga
ReplyDelete