Wednesday, 8 February 2012

Kantona na Albamu ya Kaploti


Kantona
Hivi majuzi alipotoa kibao  "fungua macho" msanii wa kizazi kipya Kantona Magirimba wapania kuzindua album yao mwaka huu. album hiyo ambayo iko na zaidi ya miziki 10 zikiwemo nyimbo kaploti, paka wako,mchele, fungua macho na nyingine kalikali, itazinduliwa maeneo kisiii mwezi Aprili.

wakiongea na meza yetu, kantona na Magirimba walisema kuwa wakati umefika wa wao kuitambulisha album hio kwa mafans kwani ni jambio ambalo halijawapa usingizi siku nyingi.

"Ushirikiano wetu umepitia mambo mengi ndio maana tumefikia hapa." Alisema Kantona

Wimbo wao mwingine utazinduliwa katika album hiyo ya Kaploti  na nahitaji mapenzi wake Mtetezi ambao alimshirikisha Kantona na Escobar wasanii kutoka Mombasa.  

No comments:

Post a Comment