Thursday, 2 February 2012

mwanamziki Avril azindua wimbo mpya




Mwanamziki kutoka ogopa DJ's Avril ametoa single yake mpya inayoitwa "KITU KIMOJA" wimbo huu Avril aliuzindua siku ya jumanne usku katika tamasha la glitzy - westlands skyuxx lounge siku ya jamanne usiku.
wimbo wenyewe Avril ameuimba juu ya yeye kumpenda jamma mmoja kipofu lakini hilo halimzui yeye kumpenda kwa dhati. 
wimbo huu ambao video yake ilitolewa katika fuo ya bahari hindi huko kusini mwa mombasani. licha ya hayo avril alisema haikuwa rahisi toa wimbo huu ambao ulimchukuwa miezi minne.

No comments:

Post a Comment