Monday, 6 February 2012
Alicios Theluji Collabo na Juliana
Mwanamziki Juliana Kanyomozi kutoka Uganda afanya Collabo inayovuma Afrika Mashiriki akimshirikisha binti Alicos Theluji Kutoka Kenya ambaye jina lake kamili ni Alice Niyonsaba aliye zaliwa nchini DRC.
Juliana adai kuwa ngoma hiyo kwa jina'Mpita Njia' ipo juu tu sana na ni mojawapo wimbo kwenye album ya Alicios ambayo bado haijazinduliwa.
Album hiyo inawashirikisha wasanii wengine wa Afrika mashariki kama vile Kidum.Video hii ya "Mpita Njia" iliyofanyiwa Uganda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment