Friday, 3 February 2012

Hussein Machozi "Jela"


Msanii Hussein Machozi amewataka wapenzi wa mziki wa kizazi kipya wakae mkao wa kula kwani yupo mbioni kuja upya.

Alisema mwaka huu 2012 amekuja kivingine zaidi ili kuwapa raha wanaAfrikamasharikikwa kuwapatia flavour tofauti tofauti, kwani hiyo ndio agenda kuu kwake.

Ngoma ya Jela imeanza kurushwa katika vituo mbalimbali vya runinga na imeonekana kupendwa na watu mbalimbali kutokana na ujumbe uliomo.

kama kawa utaiskia Ketau Express hivi karibuni kwenye 92.9 Radio Taifa-sauti ya Mkenye!

No comments:

Post a Comment