Friday, 10 February 2012

JAGUAR AVUKA BODA HADI LAS VEGAS

JAGUAR
Msanii anayevuma Afrika Mashariki na sasa  Amerika, Jaguar, kwa wimbo wake "Kigeugeu"  atavukaboda hadi mji wa Las Vegas  atakapokuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kwenye klabu Diablos, iliyoko nje ya
Monte-Carlo Casino Amerika kwa tamasha iliyobatizwa 'kigeugeu night'.

Kwenye Klabu kutakuwa na  Kenya rugby sevens walioko Las Vegas kwa mchuano wa IRB circuit, kwenye decki ni DJ Joe, Kriss Darling, na Josh watakao changanua tamasha hiyo. Hii ni kwa hisani ya Certified Party Rockers ambao ni  event organisers. Kwakeli Jaguar yuavuka boda kwa mwendo wa kasi.

No comments:

Post a Comment