![]() |
| JAFFARAI |
Wiki iliyopita, tuliona tuzo za KILI zikipata pigo pale msanii Dully Sykes kutangaza kuwa hataki kuhusishwa tena katika tuzo hizo.
Msanii mwingine wa Bongo kwa jina Jaffarai, mwenye pini linalofanya vizuri kwa
hivi sasa (Mcharuko), ametangaza kuwa yeye
pia atajitoa kwenye tuzo hizo kwa miaka ijao, hata haivyo Jaffarai
hakutoa sababu zaidi ya kusema ataliweka hilo wazi mbele ya wapenzi wake
hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment