Monday, 13 February 2012

BOB JUNIOR ULEVINI

BOB JUNIOR
Msanii nyota wa bongo flavour Rahim Rummy aka Bob Junior alinaswa katika fukwe za Coco Beach na wenzake wa Sharobaro wakitumia kileo chenye jina kubwa uarabuni kiitwacho shisha. Wakati wa tokeo hilo meza ya KETAU express iligundua kwamba, Bob Junior alikuwa na rafiki zake wakijivinjari kwakupokezana shisha hiyo. 

Alipoulizwa na viombo vya habari alikana na  akasema alikuwa ameshikilia kileo hicho marafiki zake."Mimi sikua natumia ila tu niliwashikilia rafiki zangu."

Bob Junior aka Chocolate Flavour anatambulika kwa vibao vingi ikiwemo oyo oyo, ambayo ni production yake mwenyewe ya Sharo Baro Records.Pia ni mmoja wamaproducer wanaofanya kazi nzuri nchini Tanzania ikizingatiwa kuwa, yeye ndiye anayemfanyia kazi msanii Diamond.


No comments:

Post a Comment