Wednesday, 22 February 2012

JACKIE CHINDARU KUWEKA TATTOO LINGINE KUBWA

Aliyekuwa mmoja wa kundi la Blu3 Jackie Chandiru, amekuwa midomoni mwa watu kwa tuhuma za kumpokonya mume Linda Namuli, Caleb Alaka. Tuhuma hizi zimesusia kuahairisha kwa ndoa ya kitamaduni kati ya Jackie na Caleb mara mbili sasa ilikuwapa wawili hao muda wa kutatua tatizo hilo.

Kwa muda huu wote Jackie, msanii anayevuma kwa kibao Gold Digger, amekuwa na tattoo dogo la paka mgongoni lakini kwa sababu ya rangi yake ya ngozi, paka huyu hakuonekana kumfanya binti huyu kupachuka tattoo lingine kubwa mgongoni.

TATTOO LENYEWE
Aliwaambia marafiki zake kuwa alikuwa na mengi yanayomsonga na alifikiria tattoo lingine lingemfariji. Mmoja wa rafiki zake alimtania na kusema" hmmm wakati mwingine tuite ama utapachika tattoos mwili wote na hata labda baadaye kuomba ngozi nyingine ya mwili ilikuchora tattoo zingine."

No comments:

Post a Comment