Tuesday, 14 February 2012

Eric na Fred Omondi kufanya Collabo na Raila!

Hatimaye mwigizaji marufu nchini kenya Fred Omondi pamoja na kakake Eric Omondi wamedhibitisha kufanya collabo na waziri mkuu katika wimbo wake ambao utajulikana kama Kanyaga ambao pia wanatarajia kuwashirikisha wanasiasa wengine kama martha karua na kabando wa kabando.

wawili hao watakuwa miongoni mwa wale wanafanya collabo na wanasiasa kama vile Juliani na Emanuel Jal waliorekodi wimbo na mheshimiwa Karua, Ruto na mfanyibiashara Jimnah Mbaru.


No comments:

Post a Comment