 |
| CMB PREZZO |
 |
| REDSUN |
Wasani waloikuwa na beef ya chini kwwa chini hapa kenya hawa si wengine bali ni King of dancehall ambaye makao yake ni ufarasa
Redsun na Msani aliye kuja upya na wimbo wake 4 sho 4 shizzo
CMB Prezzo aka Jakson Makini.
Hivi sasa ni kuwa wasanii hawa wawili wameweka tofauti zao kando na kutupa kitu kipya "sema nao" ambacho hivi sasa kinasambazwa mtanii.
No comments:
Post a Comment