Tuesday, 14 February 2012

MBALAMWEZI LA SAJNA

SAJNA
Mwanamziki chipukizi kutoka Tanzania, anayejulikana kama Sajna ametoa wimbo mpya unaoitwa MBALAMWEZI, ni wimbo wa mapenzi na unapatikana katika album yake ya IVETA.

Wimbo huu umefanyiwa kwenye studio za Tetemesha Recordz, ambapo beats zimefanywa na Amba. 

Huu wimbo uliundwa maalum kwa wapendanao wote katika Valentine hii.
Lyrics
“Bila wewe hata wimbo huu hauna maana, nimezunguka sana baby kwako nimeangukia niokote, kuwa na wewe wengi walisema isingewezekana, sababu ya tofauti ya dini yote haya tulishinda baby, nimekuja dar si ningeishi mwanza, kwa marafiki zangu na wazazi walionizaa, hayo yote mapenzi juu yako mbalamwezi, imulikayo moyoni mwangu baby”

No comments:

Post a Comment